iqna

IQNA

Kazem Siddiqui
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Leo hii harakati ya Muqawama ndiye mshindi halisi.
Habari ID: 3478076    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/22

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema serikali za Magharibi zinaunga mkono kuvunjiwa heshima dini za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu.
Habari ID: 3476470    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/27